Book Author

Ritha Rugalabamu Kinimi

A PhD candidate in Education, Researcher, and Teacher. Her published research explores secondary education access barriers and educational leadership dynamics in Tanzania, with work appearing in the Asian Journal of Education and Social Studies and the International Journal of Advanced Multidisciplinary Research and Studies.
Ritha Rugalabamu Kinimi ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu katika Elimu (PhD in Education) katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT). Vilevile, ni mwalimu katika Shule ya Msingi Gubali, iliyopo mkoani Dodoma, Tanzania. Mwandishi amechapisha makala mbalimbali za utafiti zinazochunguza mitazamo ya viongozi wa elimu kuhusu vikwazo vinavyoathiri upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi wa shule za sekondari. Kazi zake zimechapishwa katika Asian Journal of Education and Social Studies katika miaka ya 2025 na 2026, pamoja na International Journal of Advanced Multidisciplinary Research and Studies mwaka 2025. Katika makala yake iliyochapishwa mwaka 2025, alichunguza tathmini ya uongozi wenye dosari katika kukuza vipaji vya vijana katika taasisi za elimu za Manispaa ya Morogoro, Tanzania.
0
    0
    Your Cart
    Your cart is emptyReturn to Store